SL International Radio – Dar es Salaam, Tanzania
SL International Radio ni kituo cha redio kinachopatikana jijini Dar es Salaam, Tanzania, kikirusha matangazo masaa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki. Redio hii inalenga kutoa burudani, elimu na taarifa sahihi kupitia vipindi vya siasa, makala za kijamii, burudani na habari za kitaifa na kimataifa.
Inasimamiwa na timu makini inayoongozwa na:
Mkurugenzi: Steven Mkalungombe
Meneja: Dadycool255
Wenye vipaji vya uwasilishaji wanaounda familia ya SL International Radio ni:
Alfeo Onetrasi
Mbao Tz
Doricebeuty
Erickons
Lilianio’s
SL International Radio – Sauti ya Mabadiliko, Burudani na Habari Bila Mipaka!
SL International Radio – Dar es Salaam, Tanzania
SL International Radio is a broadcasting station based in Dar es Salaam, Tanzania, airin